Sister Rosetta Tharpe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sister Rosetta Tharpe (alizaliwa Rosetta Nubin, Machi 20, 1915 – Oktoba 9, 1973)[1] Alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mpigaji gitaa kutoka Marekani. Alijulikana zaidi katika miaka ya 1930 na 1940 kwa kurekodi muziki wa Injili, uliojulikana kwa mchanganyiko wa kipekee wa maneno ya kiroho na electric guitar.[2][3]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads