Skandi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Skandi ni elementi na metali yenye namba atomia 21 na alama Sc katika mfumo radidia wa elementi. Ni metali mpito haba yeye rangi nyeupe-kimajivu inayomenyuka haraka na dutu nyingine.
Kutokana na uhaba wake hakuna matumizi mengi yaliyopo ni kama kiungo katika taa za kung'arisha sana. Takriban kg 80 zatumiwa duniani kila mwaka kwa kusudi hii.
[[:Category:{{{1}}}|{{{1}}}]]
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads