Skeli (kutoka Kiingereza: scale) kwenye ramani ni kipimo kinachoonyesha uwiano wa umbali kwenye ramani kwa umbali halisi duniani.
Uwiano huu hutajwa kwa kawaida kwa kuandika "1 : (kiwango cha skeli)".
Maelezo zaidi Umbali wa ramani, Umbali halisi ...
Mifano ya matumizi ya skeli za kawaida
Skeli | Umbali wa ramani | Umbali halisi | Matumizi |
00.001:1.000 | sentimita 1 | 0m 10 | Ramani ya jengo au kiwanja |
00.001:10.000 | 0m 100 | Ramani ya mji |
00.01:50.000 | 0m 500 | Ramani ya utalii wa kieneo |
00.1:100.000 | 00km 1 | Atlasi ya dereva wa gari |
00.1:200.000 | 00km 2 | Ramani ya kijeshi (Urusi) |
00.1:500.000 | 00km 5 | Ramani ya kijeshi |
01:1.000.000 | 00km 10 | Ramani ya mikoa, majimbo |
01:2.500.000 | 00km 25 | Ramani ya nchi |
1:80.000.000 | 00km 800 | Ramani ya Dunia yote |
Funga