Snoop Doggy

From Wikipedia, the free encyclopedia

Snoop Doggy
Remove ads

Cordozar Calvin Broadus, Jr (amezaliwa, 20 Oktoba 1971) ni rapa wa kimarekani, mtunzi na mtayarishaji wa muziki, mjasiriamali na pia muigazaji wa filamu. Alipata umaarufu kama Snoop Dogg, mwanzoni walikuwa wakimuita Snoop Dogg Doggy.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...

Akiwa anawakilisha kikosi cha West Coast Hip Hop, pamoja na mshirika wake wa karibu Dr. Dre ambaye ndiye aliyesababisha Snoop kuwa hapo alipofikia. Snoop kuna misemo yake ambayo imezoleka sana midomoni mwa watu vile akisema 'fo' Shizzle, manizzle, akimanisha, kweli ndugu yangu, useme huo ulibuniwa na mwanamuziki maarufu wa huko huko nchini Marekani Frank Smith & the Band, mnamo miaka ya 80 hivi.

Remove ads

Maisha ya mwanzo

Snoop alizaliwa mjini Long Beach, California tar. 20 Oktoba 1971. Akiwa mtoto mdogo alipata jina la Snoop ambalo alipewa na mama yake mzazi kama jina la utani kwakuwa alikuwa anapenda kutazama kipindi cha televisheni kilichokuwa kinaitwa "Peanuts", kipindi ambacho kiliegemea kwenye masuala ya "Ucheshi", likiwemo na jina fulani la Snoop Dogg.

Snoop ajiunga na shule ya Long Beach Polytechnic High School, na baadae akapelekwa jela kwa kujishughulisha na maswala ya uuzaji na utumiaji wa madawa ya kulevya. Snoop pia alikuwa mmoja wa wanachama wa kikundi kidogo cha kihuni kilichokuwa kinaongozwa na "Bow Keene Mundine" ndani ya Long Beach.

Remove ads

Albamu Alizotoa

  • Mwaka
  • 1993: Doggystyle
  • 1996: Tha Doggfather
  • 1998: Da Game Is to Be Sold, Not to Be Told
  • 1999: No Limit Top Dogg
  • 2000: Tha Last Meal
  • 2002: Paid tha Cost to Be da Bo$$
  • 2004: R&G (Rhythm & Gangsta): The Masterpiece
  • 2006: Tha Blue Carpet Treatment
  • 2007/08: Ego Trippin'
  • Malice n Wonderland (2009)
  • Doggumentary (2011)
  • Reincarnated (2013)
  • Bush (2015)
  • Coolaid (2016)
  • Neva Left (2017)
  • Bible of Love (2018)[1]
  • I Wanna Thank Me (2019)

Albamu za ushirikiano

  • Tha Eastsidaz with Tha Eastsidaz (2000)
  • Duces 'n Trayz: The Old Fashioned Way with Tha Eastsidaz (2001)
  • The Hard Way with 213 (2004)
  • Mac & Devin Go to High School with Wiz Khalifa (2011)
  • 7 Days of Funk with 7 Days of Funk (2013)
  • Royal Fam with Tha Broadus Boyz (2013)
  • Cuzznz with Daz Dillinger (2016)
Remove ads

Filamu Alizotoa

Maelezo zaidi Filamu, Mwaka ...
Maelezo zaidi Television, Mwaka ...
Maelezo zaidi Maigizo, Mwaka ...
Maelezo zaidi Michezo ya video, Mwaka ...
Maelezo zaidi Filamu za wasifu, Mwaka ...
Remove ads

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads