Maziwa ya soya

From Wikipedia, the free encyclopedia

Maziwa ya soya
Remove ads

Maziwa ya soya ni kinywaji kinachofanana na maziwa lakini kinatokana na mbegu za soya.

Thumb
Maziwa ya Soya.

Maziwa ya soya yana asili yake huko China ambapo soya imetoka. Baadaye, mimea ya soya na vyakula vyake vilikuja Japan, hatimaye kusambaa kote duniani.

Walaji mboga upande wa vegani wanaitumia kwa sababu haina uhusiano na wanyama, wengine wanaipendelea kwa sababu za kiafya[1]. Katika Ulaya hairuhusiwi kuuzwa kwa jina la "maziwa"[2].

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads