Spider-Man 3

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Spider-Man 3 ni filamu ya kishujaa ya Marekani inayohusu hadithi ya mwanachama wa Marvel Comics, Spider-Man. Ilitungwa na Sam Raimi, kaka yake mkubwa Ivan na Alvin Sargent.

Ni filamu ya mwisho katika mfululizo wa filamu za Spider-Man zilizotungwa na Raimi. Nyota wa filamu Tobey Maguire kama Peter Parker / Spider-Man, pamoja na Kirsten Dunst, James Franco, Thomas Haden Church, Topher Grace, Bryce Dallas Howard, James Cromwell, Rosemary Harris na J. K. Simmons.

Remove ads

Washiriki

  • Tobey Maguire aliigiza kama Peter Parker / Spider-Man.
  • Kirsten Dunst aliigiza kama Mary Jane Watson.
  • James Franco aliigiza kama Harry Osborn / New Goblin.
  • Thomas Haden Church aliigiza kama Flint Marko / Sandman.
  • Topher Grace aliigiza kama Eddie Brock / Venom.
  • Bryce Dallas Howard aliigiza kama Gwen Stacy.
  • James Cromwell aliigiza kama George Stacy.
  • Rosemary Harris aliigiza kama May Parker.
  • J. K. Simmons aliigiza kama J. Jonah Jameson.
Remove ads

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka
Ukweli wa haraka

Rasmi

Mapitio

Mengineyo

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Spider-Man 3 kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads