Stanslaus Haroon Nyongo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Stanslaus Haroon Nyongo (1 Septemba 1973) ni mwanasiasa wa Tanzania na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Alichaguliwa kuwa Mbunge wa Wilaya ya Maswa kuanzia mwaka 2015. Aidha, aliwahi kuhudumu kama Naibu Waziri wa Madini hadi mwezi Desemba 2020.[1][2][3][4][5]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads