Stola

From Wikipedia, the free encyclopedia

Stola
Remove ads

Stola (kutoka Kigiriki στολή, stolē, "vazi", kupitia Kilatini "stola",) ni vazi linalotumiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo katika liturujia, hasa kutambulisha makleri na daraja zao.

Thumb
Padri akimpa mgonjwa sakramenti wa Mpako huku amevaa stola ya rangi ya dhahabu (sehemu ya mchoro wa Rogier van der Weyden Sakramenti saba, [1445]).

Umbo lake ni kama ukanda mrefu ambao askofu na padri wanavaa shingoni, kumbe shemasi begani pa kushoto.

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stola kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads