Survivor
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Survivor ni albamu ya tatu kutoka kwa Destiny's Child iliyotolewa na Columbia mnamo 1 Mei 2001 nchini Marekani. Survivor ilitoa single nne ikiwemo Bootylicious na Independent Women Part 1, Survivor zilizofika namba 1.
Albamu hii ilikuwa namba 1 kwenye chati ya Billboard 200 mnamo Mei19, 2001 ikipata mauzo ya nakala 663,000 kwenye wiki ya kwanza. Ilikuwa namba 1 kwa muda ya wiki mbili mfululizo. Iliwafanya Destiny's Child kuchaguliwa kwa tuzo tatu za Grammy Awards: Grammy Award for Best R&B Performance by a Duo or Group with Vocals, Grammy Award for Best R&B Song, na Grammy Award for Best R&B Album. Survivor ilithibitishwa 2x platinum na RIAA mnamo 7 Januari 2002.
Remove ads
Chati
Survivor ilifika namba 1 kwenye chati ya Billboard 200 na iliuza zaidi ya nakala 663,000 katika wiki yake ya kwanza.[1] Baada ya miezi mitatu, ilithibitishwa 3x platinum na Recording Industry Association of America kwa kutambulika na nakala milioni 3 zilizotumwa kwa njia ya meli.
Survivor ilifika namba 1 katika nchi nyingikama Uingereza ambapo ilithibitishwa 2x platinum kwa mauzo zaidi ya nakala 700,000.
Pia, ilifika namba 1 nchini Canada na iliuza zaidi ya nakala 31,000 kwenye wiki yake ya kwanza. Ilifikia kwenye Top 10 nchini Polandi, Sweden, Japan, Ufaransa, Italy na Finland. Albamu hii iliuza nakala milioni 5 kwenye wiki zake tano za mwanzo kote duniani. Albnamu hii ilithibitishwa 2x platinum nchini Australia.
Remove ads
Nyimbo zake
- "Independent Women Part 1" (B. Knowles, S. Barnes, C. Rooney, J. C. Olivier) 3:42
- "Survivor" (B. Knowles, A. Dent, M. Knowles) 4:14
- "Bootylicious" (B. Knowles, R. Fusari, F. Moore, S. Nicks) 3:28
- "Nasty Girl" (B. Knowles, A. Dent, M. Bassi N. Hacket) 4:18
- "Fancy" (B. Knowles, D. Wiggins, J. Rotem) 4:13
- "Apple Pie à la Mode" (B. Knowles, R. Fusari, F. Moore) 2:59
- "Sexy Daddy" (B. Knowles, D. Elliott) 4:07
- "Perfect Man" (B. Knowles, R. Stewart, E. Seats) 3:42
- "Independent Women Part 2" (B. Knowles, R. Stewart, E. Seats, B. Knowles, F. Comstock, D. Donaldson) 3:46
- "Happy Face" (R. Fusari, C. Gaines, B. Knowles, B. Lee, F. Moore) 4:20
- "Dance With Me" (B. Knowles, Soulshock, K Karlin) 3:44
- "My Heart Still Beats" featuring Beyoncé (B. Knowles, W. Afanasieff) 3:57
- "Emotion" (B. Gibb, R. Gibb) 3:56
- "Brown Eyes" (W. Afanasieff, B. Knowles) 4:49
- "Dangerously in Love" (B. Knowles, E, McCalla Jr.) 4:53
- "The Story of Beauty" (B. Knowles, K. Fambro) 3:32
- "Gospel Medley" (Dedicated to Andretta Tillman) (B. Knowles, K. Franklin, R. Smallwood) 3:25
- "You've Been So Good"
- "Now Behold the Lamb"
- "Jesus Loves Me"
- "Total Praise"
- "Outro (DC-3) Thank You" (B. Knowles, K. Rowland, M. Williams, R. Fusari, B. Lee, C. Gaines) 4:03
Remove ads
Chati
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads

