Susan Glaspell

From Wikipedia, the free encyclopedia

Susan Glaspell
Remove ads

Susan Keating Glaspell (1 Julai 1876 27 Julai 1948) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1931, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake Alison's House ("Nyumba ya Alison").

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Susan Glaspell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amekufa ...
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads