Tanga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tanga ni jina la:
- Mkoa wa Tanga katika Tanzania
- Wilaya ya Tanga, Tanzania
- Mji wa Tanga, Tanzania
- Tanga (Songea) - kata ya mkoa wa Ruvuma, Tanzania
- Tanga (chombo), kitambaa kikubwa kinachokingamishwa kwenye mlingoti wa jahazi
- Tanga (pesa), sarafu ndogo ya Tajikistan (100 Tanga = 1 Rubel)
- Tanga (nguo), aina ya chupi za wakinamama zinazohitaji kitambaa kidogo sana
- Tanga (kundinyota)
- Tanga (filamu) ya Kibrazili yenye jina la kisiwa kidogo
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads