Tangi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Tangi
Remove ads

Tangi ni chombo kikubwa kinachotumiwa kuhifadhia au kuwekea vimiminika au gesi[1]. Hutengenezwa kwa bati gumu, chuma, plastiki au dutu nyingine isiyoathirika na vitu vinavyohifadhiwa mle.

Thumb
Tangi kubwa hutunza akiba za mafuta ilhali lori lenye tangi linapeleka mafuta hadi vituo

Tangi zinapatikana kwa maumbo tofauti na kila ukubwa. Tangi ndogo mfano ya kibatari hushika mafuta kidogo kama nusu thumuni ya lita, tangi la gari huwa na lita 50-60 na matangi makubwa yanayopatikana bandarini hushika lita milioni kadhaa yakipokea mafuta kutoka meli zinazobeba mafuta[2].

Remove ads

Marejeo

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads