Tarafa za Kodivaa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Tarafa za Kodivaa (Kifaransa: Sous-préfectures de Côte d'Ivoire) ni ngazi ya tatu ya ugatuzi. Nchi imegawanywa katika majimbo 14. Mikoa na Wilaya, imegawanywa katika tarafa 509.

Tarafa zilianzishwa kwanza mwaka wa 1961.

Tarafa

Kwa sasa kuna tarafa 509.

Thumb


Viungo vya nje

Tazama pia

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads