Taswira (filamu)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Taswira ni filamu inayoonyesha safari ya muziki ya msanii anayeitwa kwa jina Belle 9, anapopambana na changamoto za maisha yake binafsi na tasnia ya muziki.[1]
Washiriki
- Mariam Swaibu
- Ussi Haji
- Fanueli Phabiani
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads