Taylor Swift (albamu)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Taylor Swift (albamu)
Remove ads

Taylor Swift ni jina la kutaja albamu ya kwanza na jina la msanii mwenyewe wa muziki wa county na pop wa Kimarekani Bi. Taylor Swift. Albamu iltolewa mnamo tar. 24 Oktoba 2006 kwenye studio ya Big Machine Records, na kutumbukiza vibao vikali vitano kwenye chati za Billboard kwa upande wa muziki wa country.

Ukweli wa haraka Studio album ya, Imetolewa ...
Remove ads

Orodha ya nyimbo

Maelezo zaidi #, Jina ...
Remove ads

Chati

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads