Taylor Swift
Mwimbaji-mtunzi wa nyimbo wa Marekani (aliyezaliwa 1989) From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Taylor Alison Swift (amezaliwa 13 Desemba 1989) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa muziki wa country-pop nchini Marekani. Alitoa kibao chake cha kwanza, "Tim McGraw", mnamo 2006 akiwa na umri wa miaka 16.
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |

Ameshinda tuzo ya CMT kama “Video Bora ya Mwaka" mnamo 2007 kwa ajili ya wimbo wake wa "Tim McGraw". Pia alishindanishwa kwenye tuzo za Academy of Country Music kama "Mwimbaji Chipukizi wa Kike".
Taylor Swift ni mada ya mvuto mkubwa wa vyombo vya habari na chanzo cha habari nyingi. Akiwa mtu anayependwa sana na pia kuchunguzwa kwa kina, maisha na kazi yake huibua maoni mbalimbali ya umma.
Waandishi na wasomi wamechunguza kiwango kikubwa cha kukubalika kwake kijamii pamoja na mwelekeo wa kuzua mijadala. Thamani ya makadirio ya vyombo vya habari vya bure juu yake inakadiriwa kuwa dola bilioni 130 za Marekani kufikia mwaka 2023.[1]
Remove ads
Diskografia
Albamu za Studio
Single zake
Remove ads
Tuzo
- CMT Music Awards
- 2007, Kuvunja Rekodi ya Video Bora ya Mwaka: Tim McGraw (Ameshinda)
- Academy of Country Music Awards
- 2007, Mwimbaji wa Kike Chipukizi: Ameshindanishwa (Kapotezwa na Miranda Lambert)
- Academy of Country Music Awards
- 2008, Mwimbaji wa Kike Chipukizi (Ameshinda)
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads