Terrence Howard

Muigizaji wa kiume wa marekani From Wikipedia, the free encyclopedia

Terrence Howard
Remove ads

Terrence Dashon Howard (amezaliwa Machi 11, 1969) ni mwigizaji wa Marekani. Baada ya kuwa na majukumu yake ya kwanza makubwa katika filamu za 1995 za Dead Presidents na Mr. Holland's Opus, Howard aliingia kwenye mafanikio ya mfululizo wa televisheni na sinema miaka kati ya mwaka 2004 na 2006. Aliwahi kutunikiwa Tuzo ya Academy kama Muigizaji Bora kwa uhusika wake katika Hustle & Flow.[1]

Thumb
Terrence Howard
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads