Thelathini na tisa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Thelathini na tisa ni namba inayoandikwa 39 kwa tarakimu za kawaida na XXXIX kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 38 na kutangulia 40.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 13.
Matumizi
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads