Theodore Roosevelt

Rais wa Merika kutoka 1901 hadi 1909 From Wikipedia, the free encyclopedia

Theodore Roosevelt
Remove ads

Theodore Roosevelt (27 Oktoba 18586 Januari 1919) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Miaka ya 1901 hadi 1909 alikuwa Rais wa ishirini na sita wa Marekani. Mwaka wa 1906 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani. Alikuwa Kiongozi wa chama cha kisiasa cha kijamhuri na mwanzilishi wa chama cha kisiasa cha Progressive cha 1912 ambacho hakikudumu.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Theodore Roosevelt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Ukweli wa haraka 26 Rais wa Marekani, Makamu wa Rais ...
Remove ads
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads