Thesalonike
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Thesalonike (kwa Kigiriki Θεσσαλονίκη, Thessaloniki) ni mji wa pili wa Ugiriki kwa ukubwa, ukiwa na wakazi 322,240 (sensa ya mwaka 2011) ambao wanafikia 790,824 katika eneo zima la mji.
Uko upande wa kaskazini wa nchi na kuwa makao makuu ya mkoa wa Makedonia.
Una historia ndefu na tukufu, ikiwa ni pamoja na kutembelewa na mtume Paulo aliyeanzisha huko mojawapo kati ya jumuia za kwanza za Ukristo barani Ulaya.
Pia unajulikana kwa nyaraka mbili alizowaandikia hao Wakristo wachanga, ambazo ya kwanza yake ni andiko la kwanza kabisa katika utunzi wa Agano Jipya.
Remove ads
Picha
- Sehemu ya Tao la Galerius
- Tao la Galerius na Rotunda
- Sehemu ya ngome ya mji
- Mandhari ya mji kutoka Ano Poli
- Kitivo cha Falsafa, jengo la kwanza la Aristotle University, iliyoundwa mwaka 1925
- Majengo ya uwanja wa Aristotle
- Thessaloniki International Trade Fair na ukumbi wa michezo wa Alexandreio Melathron (kushoto); Chuo Kikuu cha Aristotle (kulia)
- "Mnara mwekundu"
- Jewish Museum of Thessaloniki
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads