Thomas Spreiter
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Thomas (Franz Xavier) Spreiter, O.S.B. (28 Desemba 1865 – 27 Januari 1944) alikuwa mmisionari kutoka Ujerumani, mmoja wa waanzilishi wa Shirika la Wamonaki Wamisionari Wanenedikto, ambaye alifanya kazi katika Afrika Mashariki ya Kijerumani na baadaye Afrika Kusini.
Alikuwa mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam katika Afrika Mashariki ya Kijerumani, na askofu wa Vicariate ya Apostoliki ya Natal na Vicariate ya Eshowe. [1]

Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads