Thrakia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Thrakia (kwa Kigiriki Θράκη, Thráki; kwa Kituruki Trakya) ni eneo la kijiografia na kihistoria katika Ulaya ya Kusini-Mashariki, ambalo limegawanyika sasa kati ya Bulgaria, Ugiriki, na Uturuki. Imepakana na Milima ya Balkani upande wa kaskazini, Bahari ya Aegean upande wa kusini, na Bahari Nyeusi upande wa mashariki. Inajumuisha kusini mashariki mwa Bulgaria ( Thrakia ya Kaskazini ), kaskazini mashariki mwa Ugiriki (Thrakia ya Magharibi ), na sehemu ya Uturuki iliyopo Ulaya (Thrakia ya Mashariki ). Mipaka ya eneo hilo inalingana na jimbo la Kiroma la Trakia.



Remove ads
Viungo vya nje
- Ethnological Museum of Thrace, comprehensive website on Thracian history and culture.
- Bulgaria's Thracian Heritage. including images of the comprehensive art collection of Thracian gold found on the territory of contemporary Bulgaria.
- Information on Ancient Thrace Ilihifadhiwa 23 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine.
- The People of the God-Sun Ar and Areia (modern Thrace)
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Thrakia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads