Thukidides
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Thukydides (kwa Kigiriki Θουκυδίδης, Thukudídēs; alizaliwa mnamo mwaka 460 KK - aliaga dunia mnamo mwaka 400 KK) alikuwa kiongozi wa kijeshi na mwanahistoria wa Ugiriki ya Kale kutoka Athini anayekumbukwa hasa kwa maandishi yake kuhusu Vita ya Peloponesi (431 KK hadi 404 KK) kati ya Athini na Sparta.

Aliitwa "baba wa historia ya kitaalamu" kwa jitihada zake za kukusanya habari kutoka vyanzo vingi na kusimulia historia bila msimamo wa upande mmoja.
Remove ads
Marejeo
Kusoma zaidi
Tovuti nyingine
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads