Thukidides

From Wikipedia, the free encyclopedia

Thukidides
Remove ads

Thukydides (kwa Kigiriki Θουκυδίδης, Thukudídēs; alizaliwa mnamo mwaka 460 KK - aliaga dunia mnamo mwaka 400 KK) alikuwa kiongozi wa kijeshi na mwanahistoria wa Ugiriki ya Kale kutoka Athini anayekumbukwa hasa kwa maandishi yake kuhusu Vita ya Peloponesi (431 KK hadi 404 KK) kati ya Athini na Sparta.

Thumb
Nusu sanamu ya Thukidides katika Jumba la kumbukumbu la Royal Ontario, Toronto, Kanada (kopi ya Kiroma ya sanamu asilia ya Kigiriki).

Alikuwa mtoto wa Olorus. [1]

Aliitwa "baba wa historia ya kitaalamu" kwa jitihada zake za kukusanya habari kutoka vyanzo vingi na kusimulia historia bila msimamo wa upande mmoja.

Remove ads

Marejeo

Kusoma zaidi

Tovuti nyingine

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads