Tiberi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tiberi (jina kamili kwa Kilatini: Tiberius Caesar Divi Augusti filius Augustus)[1]; 16 Novemba 42 KK - 16 Machi 37) alitawala Dola la Roma kuanzia mwaka 14 hadi kifo chake. Alimfuata Kaizari Augusto.

Chini yake Yesu Kristo alisulubiwa kwa amri ya liwali Ponsyo Pilato.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
