Tipitaka
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tipitaka (kipali: Tipiṭaka) ni kitabu kitakatifu cha Ubuddha katika lugha ya Kipali. Jina hutafsiriwa kama vikapu vitatu.

Maudhui
Tipitaka ina sehemu tatu. Ya kwanza inahusu nidhamu ya kimonaki. Sehemu ya pili ina mahubiri ya Gautama Buddha. Sehemu ya tatu ina metafizikia changamano.
- Vinayapitaka
- Suttapitaka
- Abhidhammapitaka
Tazama Pia
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tipitaka kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads