Tom na Jerry
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tom na Jerry ni washindi wa tuzo ya Oscars (Academy Award) kama mfululizo wa vikatuni bora vilivyokuwa vinatayarishwa na kampuni ya Metro-Goldwyn-Mayer.
Hadithi inayosimuliwa ni mara kwa mara majaribio ya paka Tom kumshika panya Jerry bila kufaulu.
Katuni nyingi za Tom na Jerry zilikuwa zinatengenezwa fupifupi. Tom na Jerry ilitungwa na kuongozwa na William Hanna na Joseph Barbera. Katuni laki moja na kumi na nne za Tom na Jerry zilitaarishwa na studio ya katuni iitwayo MGM iliyopo mjini Hollywood kuanzia mwaka 1940 hadi 1957, ambapo kitngo cha katuni katika MGM kilipofungwa.
Remove ads
Filamu
Marejeo na viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads