Toni Braxton (albamu)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Toni Braxton ni albamu ya mwanzo ambayo imetolewa na mwimbaji wa R&B wa Marekani mwenye jina lilo hilo Toni Braxton. Ilitolewa nchini Marekani mnamo 13 Julai 1993 na shirika la LaFace Records ilikaa katika chati za Billboard 200 kwa majuma mawili yasiyofuatana na ikauza nakala zaidi ya nakala milioni nane nchini Marekani pekee.

Remove ads
Toleo la Kijapani
Nchini Japan inajulikana kama Love Affair, ambalo pia ni jina lakibao katika albamu hiyo. Toleo la hilo ni sawa na lile la kawaida ambalo lina vibao 12. Tofauti pekee ni Obi strip na kijitabu cha maneno ya nyimbo hizo zikiwa zimeandikwa katika maandishi ya Lugha ya Kijapani.
Orodha ya Vibao
- "Another Sad Love Song" (Babyface, Daryl Simmons) – 5:01
- "Breathe Again" (Babyface) – 4:29
- "Seven Whole Days" (Antonio "L.A." Reid, Babyface) – 6:22
- "Love Affair" (Tim Thomas, Teddy Bishop) – 4:28
- "Candlelight" (Gaylor Dunn, John Barnes) – 4:36
- "Spending My Time with You" (Bo Watson, McArthur) – 4:08
- "Love Shoulda Brought You Home" (Babyface, Simmons, Watson) – 4:56
- "I Belong to You" (Vassal Benford, Ronald Spearman) – 3:53
- "How Many Ways" (Vincent Herbert, Toni Braxton, Noel Goring, Keith Miller, Phillip Field) – 4:45
- "You Mean the World to Me" (Reid, Babyface, Simmons) – 4:53
- "Best Friend" (Braxton, Vance Taylor) – 4:28
- "Breathe Again" (Reprise) (Babyface) – 1:19
Toleo la Uropa
- "Give U My Heart" (Mad Ball Mix) (Babyface akimshirikisha Toni Braxton) (Reid, Babyface, Simmons, Watson) – 6:11
Remove ads
Chati
Vyeti vya Uthibitisho
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads