Tragelaphus

From Wikipedia, the free encyclopedia

Tragelaphus
Remove ads
Remove ads

Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia hapa Tandala (Makete)

Maelezo zaidi Tandala, Uainishaji wa kisayansi ...

Tragelaphus ni jenasi ya wanyama katika familia Bovidae. Spishi za Tragelaphus huitwa tandala, bongo, kulungu, malu, nyala au nzohe.

Wanatokea Afrika katika maeneo yenye miti kutoka nyika hadi msitu.

Wana milia na madoa meupe juu ya rangi ya kahawa au kijivu. Dume ni mkubwa kuliko jike na ana pembe ndefu zilizopotolewa. Jike hana pembe.

Wanyama hao hula majani, manyasi, matunda na viazi vya gugu.

Remove ads

Spishi

Remove ads

Picha

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tragelaphus kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads