Treni za mjini Vienna

From Wikipedia, the free encyclopedia

Treni za mjini Vienna
Remove ads

Treni za mjini Vienna, Kijerumani: U-Bahn Wien, ni treni za mjini ya mji mkubwa na mji mkuu wa Austria, Vienna.

Makala hii ina dalili ya kutungwa kwa kutegemea programu ya kompyuta kama vile "Google translation" au "wikimedia special:content translation" bila masahihisho ya kutosha. Watumiaji wanaombwa kuchunguza tena lugha, viungo na muundo wake. Wakiridhika na hali yake wanaweza kuondoa kigezo hiki kinachoonekana kwenye dirisha la kuhariri juu ya matini ya makala kwa kutumia alama za {{tafsiri kompyuta}} .

Thumb
Ramani za mtandao za treni za mjini Vienna
Remove ads

Kuhusu

Treni za mjini ya Vienna mistari mitano:

  • Mstari U1 (nyekundu): Leopoldau - Oberlaa
  • Mstari U2 (purple): Seestadt - Karlsplatz
  • Mstari U3 (rangi ya machungwa): Ottakring - Simmering
  • Mstari U4 (kijani): Huetteldorf - Heiligenstadt
  • Mstari U6: (rangi ya kahawia): Siebenhirten - Floridsdorf

Mstari wa U5 bado hamna lakini inapangaliwa.

Treni

Thumb
Tipi U karibu na kituo cha Aderklaaer Strasse
Thumb
Tipi V Karibu na kituo cha Aderklaaer Strasse
Thumb
Tipi T1 kituoni cha Burggasse Stadthalle
Thumb
Tipi T kituoni cha Neue Donau
Thumb
Tipi E kituoni cha Neue Donau

Kuna tipi mbili ya treni, tipi U na tipi V.

Tipi U ni generationi ya kwanza ya mistari U1 - U4, kuanzia 2006, treni za tipi V zinaendeswa hapa pia.

Mstari wa U6 ilikuwa na tipi T na E, Leo tipi T na T1 zinaendeshwa,, (T1 kuanzia 2008), trneinza tipi E zimeuswa.

Kuna tipi mpya, X, itaendeshwa pia kuanzia mstari wa U5 imefunguwa.

Tipi V, T1 na X Zina "air condition" pia, tipi X zinaendeswa bila suka.

Remove ads

Vituo

Thumb
Jukwaa la mstari U3 kituoni cha Stephansplatz
Thumb
Ramani za eneo ya kituo cha Stephansplatz

Vituo vya treni za mjini ya Vienna zinatumikwa ya treni ya Veinn U-Bahn tu, kila mstari ina jukwaa yake, hamna shari ya jukwaa moja na mistari nyingine.

Kwa mfano kituo cha Karlsplatz ina jukwaa tatu, jukwaa ya U1, U2 na U4 pia, Karlsplatz ni kituo kubwa zaidi wote Austria. Kila Kituo kina mashine ya tiketi, validatori, ratiba, tamani, skrini ya kutoka ya kieelektroniki, benchi na Mistari ya watu hawasione. Pia vituo vyote zina elevatori, vituo vingi eskalatori pia.

Garaji

Garaji ya treni za mji ipo kata ya Erdberg (wilaya 3 (Landstrasse), karibu na Vienna International Busterminal, pale wafanyakazi wa Wiener Linien wanafanya matengenezo pia. Pia pale ni Makao Makuu na offisi ya wateja ya Wiener Linien.

Park & Ride

Kuna huduma inaitawa Park & Ride, abiria ya U-Bahn Wien wanaweza kukopesha gari kwenye sehemu ya maegesho na kubadilisha kwa usafiri wa umma, kwa mfano kituonincha Neulaa na Leopoldau.

Bike & Ride

Fasiliti ya Bike & Ride zipo vituo vyingi ya U-Bhan Wien, pale watu wanatumia baiskeli wanaweza kukopesha baiskeli na vehikeli nyingine bila engine na kubadilisha kwa U-Bahn, kutumia Bike & Ride ni bure.

Umoja wa trafiki

Treni za mjini wa Vienna, Vienna tramu na mabasi la jiji wengi zinaendeswa na kampuni inaitawa Wiener Linien, ni mwanachama wa Umoja wa usafiri wa umma eneo ya mashariki (VOR) (Kijerumani: Verkehrsverbund Ost-Region).

Pia njia ya reli ya jamhuri ya Austria, Wiener Lokalbahnen AG (kampuni ya Treni za mkoani Vienna - Baden, Dr. Richard, Blaguss, Postbus na nyingine ni wanachama.

City Airport Train (CAT) na Vienna Airport Lines sio wanachama.

Remove ads

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads