Trieste
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Trieste ni jina la mji mkuu wa mkoa wa Friuli-Venezia Giulia katika Italia. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 205,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 2 juu ya usawa wa bahari.

Remove ads
Picha
- Ngome Miramare
- Mfereji
- Makuu San Giusto
- Mtazamo
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads