Tropical Teqniks

From Wikipedia, the free encyclopedia

Tropical Teqniks
Remove ads

Tropical Teqniks ni jina la albamu ya pili kutoka kwa kundi zima muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Kwanza Unit. Alabmu ilitoka mwaka 1996 chini ya lebo ya Madunia Foundation - Rumba Kali African Hip Hop (RAHH). Nyimbo kali kutoka katika albamu ni pamoja na Suckers, Nata, Play Ya Part na nyingine kibao. [1] Hii ndiyo albamu ya kwanza ya hip hip nchini Tanzania kutolewa katika CD.

Ukweli wa haraka Studio album ya Kwanza Unit, Imetolewa ...
Remove ads

Orodha ya nyimbo

Hii ni orodha ya nyimbo zinazopatikana katika albamu hii.

  1. A1 - Tekniqs
  2. A2 - Zipi?
  3. A3 - Suckers
  4. A4 - Nata
  5. A5 - One 4 Me
  6. B1 - Randa
  7. B2 - Dedication (4 A Late Homie)
  8. B3 - Play Ya Part
  9. B4 - Shout Out
  10. B5 - Freestyle (Live August 1996)

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads