Troy (filamu)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Troy ni filamu ya hali ya juu iliyotolewa mnamo 14 Mei 2004. Filamu inahusu vita vya Troya.
Filamu inatokana na kitabu cha Homer' cha Iliadi, lakini pia kimechanganya maufundi mengine kutoka katika kitabu cha Vergilio cha Aeneid na vyanzo vingine. Filamu ina wahusika maarufu sana tangu kipindi hicho inatoka. Wahusika hao ni pamoja na: Brad Pitt kacheza kama Achilles, Eric Bana kacheza kama Hector, Orlando Bloom kacheza kama Paris, Diane Kruger kacheza kama Helen, Brian Cox kacheza kama Agamemnon, Sean Bean kacheza kama Odysseus, Rose Byrne kacheza kama Briseis, Garrett Hedlund kacheza kama Patroclus, Peter O'Toole kacheza kama Priam, Brendan Gleeson kacheza kama Menelaus, na Tyler Mane kacheza kama Ajax . Troy iliongozwa na Wolfgang Petersen na kutungwa na David Benioff. Filamu imepata Tuzo za Akademi ikiwa kama filamu bora ya mandhari asilia.
Remove ads
Washiriki
Remove ads
Soma zaidi
- Petersen, Daniel (2006). Troja: Embedded im Troianischen Krieg (Troy: Embedded in the Trojan War). HörGut! Verlag. ISBN 3-938230-99-1.
- Winkler, Martin M. (2006). Troy: From Homer's Iliad to Hollywood Epic Ilihifadhiwa 26 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.. Blackwell Publishing. ISBN 1-4051-3183-7.
Vingo vya nje
- Official website
- Troy at the Internet Movie Database
- Troy katika Rotten Tomatoes
- Troy katika Metacritic
- Troy katika Sanduku la Ofisi la Mojo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads