14 Mei

tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Tarehe 14 Mei ni siku ya 134 ya mwaka (ya 135 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 231.

Apr - Mei - Jun
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu za watakatifu Mtume Matia, Masimo wa Asia, Ponsyo wa Cimiez, Vikta na Korona, Isidori wa Kio, Felisi na Fortunati, Yusta na Eredina, Abrunkulo wa Langres, Galus I wa Clermont, Kartaki wa Lismore, Erembati, Theodora Guerin, Mikaeli Garikoitz, Maria Dominika Mazzarello n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 14 Mei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads