Tumbe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tumbe ilikuwa kata ya Wilaya ya Micheweni katika Mkoa wa Pemba Kaskazini, Tanzania.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,994 waishio humo. [1]
Kwa sasa imegawiwa katika kata za Tumbe Magharibi na Tumbe Mashariki.
Remove ads
Historia
Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads