Ufalme wa Kush

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ufalme wa Kush
Remove ads

Ufalme wa Kush ulikuwa dola ambalo kuanzia mwaka 780 KK hivi lilienea kutoka Sudan hata kutawala Misri likaja kwisha mwaka 330 BK hivi liliposhindwa na ufalme wa Aksum.

Thumb
Eneo asili la Kush na jinsi lilivyokuwa limeenea mwaka 700 KK hivo.[1]

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads