Uhandisi wa umeme

From Wikipedia, the free encyclopedia

Uhandisi wa umeme
Remove ads

Uhandisi wa umeme ni taaluma ya uhandisi inayohusika na utafiti, muundo na utumiaji wa vifaa, na mifumo inayotumia umeme na sumaku.

Thumb
Umspannwerk-Pulverdingen 380kV

Iliibuka kama kazi inayotambulika mwishoni mwa karne ya 19 baada ya biashara ya telegraph ya umeme, simu na uzalishaji wa nguvu za umeme, usambazaji na matumizi.

Uhandisi wa umeme umegawanyika katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na uhandisi wa kompyuta, uhandisi wa mifumo, uhandisi wa nishati, mawasiliano ya simu, uhandisi wa mawimbi ya redio, uchakataji wa taarifa, ala, seli za fotovoltaiki(photovoltaic), umeme, na mambo ya mwanga na tabia zake.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads