Ukinzani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ukinzani ni zuio la upitaji wa umeme.
Kifaa kinachotoa ukinzani kwenye sakiti huitwa kikinza au kikinzani [1]; pia: kikinzanishi[2] au resista [3].
Ukinzani hupimwa kwa omu mita wakati kikinza hupimwa kwa omu.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads