Ulsan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ulsan (Kikorea: 울산) ni mji nchini Korea Kusini. Ni mji mkubwa wa saba katika nchi wa Korea Kusini. Kuna wakazi 1,126,879 (mwaka 2008).
Jiografia
Eneo lake ni 1,056.4 km².

Viungo vya nje
- english.ulsan.go.kr Ilihifadhiwa 3 Juni 2010 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu "Ulsan" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ulsan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads