Umma

From Wikipedia, the free encyclopedia

Umma
Remove ads

Umma ni jumla ya watu wote katika kikundi, jamii au nchi.

Thumb
Watu jamii ya Kihindi wakikusanyika kwa ajili ya Ibada

Kisosholojia, umma ni watu walio na nia sawa katika jambo fulani kama vile, wasomaji wa gazeti, watazamaji wa televisheni au kandanda ama watumiaji wa mtandao.

Katika sayansi ya siasa, umma ni wananchi wakilinganishwa na serikali ambayo hudhaniwa kuwa mtu. Serikali humiliki mali (mali ya umma) kwa niaba ya wananchi wake. Vilevile, huduma zozote zinazotolewa na serikali husemekana kuwa za umma kwa sababu umma (wananchi) ndio huigharamia serikali kwa wafanyakazi, kodi, ushuru, n.k. Kwa mfano, shule za umma.[1]

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads