Umontani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Umontani ulikuwa aina ya Ukristo iliyopewa jina la mwanzilishi wake , Montanus [1], mtu wa Frigia (leo nchini Uturuki)[2] wa karne ya 2. Huyo alijidai kumpata Roho Mtakatifu kama nabii, lakini Kanisa Katoliki kwa jumla lilimuona yeye na wafuasi wake kama wazushi [3][4]. Hata hivyo Umontani ulienea hata Ulaya na Afrika Kaskazini na kudumu kwa namna moja au nyingine katika karne zilizofuata [5].

Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
