Unst

From Wikipedia, the free encyclopedia

Unst
Remove ads

Unst ni kisiwa cha funguvisiwa la Shetland, upande wa kaskazini ya Uskoti (Scotland). Inahesabiwa kuwa sehemu ya Uskoti.

Thumb
Ramani ya Shetland
Thumb
Mahali pa Shetland kati ya Uskoti na Norwei

Visiwa vya Shetland viko baharini kati ya Visiwa vya Faroe na Visiwa vya Orkney. Funguvisiwa hilo liko mpakani kati ya Bahari Atlantiki upande wa magharibi na Bahari ya Kaskazini upande wa mashariki.

Tabianchi ni nusu aktiki na si baridi sana kutokana na athira ya mkondo wa ghuba.

Remove ads

Uchumi

Uchumi wa visiwa unategemea kilimo na hasa ufugaji wa kondoo.

Mwaka 1969 mafuta ya petroli yaligunduliwa yakawa chanzo kipya cha mapato.

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads