Ustawi wa Jamii
manufaa ya kijamii yenye mwelekeo wa maana From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ustawi wa Jamii ni aina ya msaada wa serikali unaolenga kuhakikisha kwamba wanajamii wanaweza kukidhi mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile chakula,malazi na makazi.[1]

Usalama wa jamii unaweza kuwa sawa na ustawi wa jamii,[tanbihi 1] au ni mipango ya bima ya jamii ambayo hutoa msaada tu kwa wale ambao wamechangia hapo awali, kinyume na mipango ya "msaada wa jamii" ambayo hutoa msaada wa msingi wa mahitaji pekee (kwa mfano, watu wenye ulemavu).[6][7]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads