Vaduz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Vaduz (tamka: faduts) ni mji mkuu wa utemi wa Liechtenstein na makao makuu ya bunge la nchi. Iko kando la mto Rhine. Kuna wakazi 5,248. Mahali pake ni 47°8' N, 9°31' E.




Wakazi walio wengi ni wakatoliki. Kuna Askofu Mkuu wa kanisa katoliki.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vaduz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads