Varkey Vithayathil
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Varkey Vithayathil CSsR (29 Mei 1927 – 1 Aprili 2011) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka India aliyekuwa Mkuu wa Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabar na Askofu Mkuu wa Ernakulam-Angamaly kutoka 1999 hadi 2011. Pia alikuwa mtawa wa Shirika la Mkombozi Mtakatifu Sana (Congregation of the Most Holy Redeemer).[1]

Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads