Vedastus Mathayo Manyinyi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Vedastus Mathayo Manyinyi (amezaliwa tar. - ) ni mbunge wa jimbo la Musoma Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Alikuwa mbunge mara ya kwanza miaka 2005-2010 alirudi tena mwaka 2015[2] Amehitimu katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads