Veney Cameron

From Wikipedia, the free encyclopedia

Veney Cameron
Remove ads

Verney Lovett Cameron (1 Julai 1844  24 Machi 1894) alikuwa mpelelezi Mwingereza katika Afrika ya Kati na Mzungu wa kwanza kuvuka (1875) Ikweta Afrika kutoka bahari hadi bahari.

Thumb
Verney Lovett Cameron mnamo 1878

Wasifu

Alizaliwa mjini Radipole, karibu na Weymouth, Dorset, akiwa mwana wa mchungaji Jonathan Lovett Cameron na Frances Sapte. Alijiunga na jeshi la wanamaji la Uingereza 1857. Akahudumu katika kampeni ya Uhabeshi ya 1868. Aliajiriwa muda mrefu katika kukandamiza biashara ya utumwa ya Afrika Mashariki.

Marejeo

  • RF Burton, VL Cameron "Kwa Pwani ya Dhahabu kwa Dhahabu", 
  • VL Cameron "Afrika nzima", 
  • James Choyce "Log ya Jack Tar: James Choyce, Master Mariner", 
  •  This article incorporates text from a publication now in the public domain: Chisholm, Hugh, mhr. (1911). "Cameron, Verney Lovett" . Encyclopædia Britannica. Juz. la 5 (tol. la 11th). Cambridge University Press. uk. 109. {{cite encyclopedia}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help); Invalid |ref=harv (help)
Remove ads

Viungo vya nje

  • Works by Verney Lovett Cameron at Faded Page (Canada)
  • Works by Veney Cameron katika Project Gutenberg
  • Works by or about Verney Lovett Cameron at the Internet Archive
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads