Vicensia Shule

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Vicensia Shule (alizaliwa 14 Machi 1978) ni mhadhiri katika kitivo cha Sanaa ya Ubunifu katika chuo kikuu cha Dar es Salaam[1] pia ni mbunifu wa kutumia vitu ambavyo vilishatumika mara ya kwanza, msomi wa ngazi ya juu, mwanaharakati wa haki na jinsia na mwandaaji wa filamu.[2]

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Remove ads

Elimu

  • 2002-2004: Shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
  • 2002: Tuzo ya mwanafunzi bora katika mitihani ya mwisho ya shahada ya kwanza katika Kitivo cha Sanaa katika UDSM.
  • 2002-2004: Shahada ya udaktari katika Fani ya Sanaa ya Maonyesho kutoka chuo kikuu cha Johannes Gutenberg Universität Mainz, Ujerumani

Marejeo

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads