Village Pastor

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Village Pastor ni filamu ya ki Tanzania ambayo tunaona Nini kitakachotokea ikiwa mke/mume wa mchungaji ataisaliti ndoa yake na ikiwa ametubu na kusamehewa, hatua gani zichukuliwa ikiwa atarudia kosa hilo.[1][2]

Washirki

  • Steven Kanumba
  • Pastor Isaya
  • Aunty Ezekiel
  • Charles Magari
  • Ahmed Olotu
  • Nurdin Mohamed
  • Hamisi Changare

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads