Vitus Mtakatifu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Vitus Mtakatifu alikuwa mtoto Mkristo (labda kutoka Sicilia, kisiwa kikubwa cha Italia) aliyefia dini yake wakati wa dhuluma za makaisari wa Dola la Roma Diocletian na Maximian mwaka 303, akiwa na umri wa miaka 13 hivi[1].


Kwa sababu hiyo tangu kale Vitus peke yake, baadaye pamoja na walezi wake Modesto na Kresensya[2][3], anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Juni[4] ambayo kwa Waorthodoksi ni tarehe 28 Juni ya kalenda ya kimataifa.
Remove ads
Picha
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads